Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika ya Changsha Yafuatiliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 28, 2021
Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika ya Changsha Yafuatiliwa
Mtazamaji mmoja (upande wa kulia) alichagua sanaa za Afrika.

Jumapili ya wiki iliyopita, Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefunguliwa huko Changsha. Upande wa waandalizi ulisema, maonesho hayo yatafanywa kwa siku nne kwa njia ya video na kwenye ukumbi wa nyumba pia, na yamevutia kampuni karibu 900 kutoka nchi 40 hivi za Afrika na China.

(Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua/Chen Sihan)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha