Maonesho ya utamaduni wa 17 yafungwa
bidhaa za utamaduni zaidi ya laki 10 zaoneshwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2021
Maonesho ya utamaduni wa 17 yafungwa
bidhaa za utamaduni zaidi ya laki 10 zaoneshwa
Tarehe 23, Septemba, mtembeleaji anajaribu mchezo wa VR kwenye maonesho ya utamaduni ya 17. Mipiga picha wa Shirika la Habari la China Xinhua, Mao Siqian

Tarehe 27 mkutano wa biashara na maonesho wa sekta ya utamaduni wa kimataifa wa China (Shenzhen) wa 17 ulifungwa. Mkutano huo ulionesha bidhaa za utamaduni zaidi ya laki 10, washiriki waliokwenda vituo husika ni zaidi ya milioni 2.0504.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha