Picha: Jumba la China kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Dubai 2020

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2021
Picha: Jumba la China kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Dubai 2020

Jumba la China kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Dubai lenye kaulimbiu ya “kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja—uvumbuzi na fursa”, litafanya maonesho ya pande nne za “Ndoto ya Pamoja”, “Dunia ya Pamoja”, “Maskani ya Pamoja” na “Mustakabali wa Pamoja”. Jumba hili la China lina ghorofa tatu, na maonesho ya China yatafanyika katika maeneo sita ya “utafiti na ugunduzi”, “mawasiliano na muunganisho”, “uvumbuzi na ushirikiano”, “fursa na mustakabali”. Katika Jumba la China pia kuna maeneo ya uwanja, migahawa, ukumbi wenye uwezo wa kufanya kazi nyingi, chumba cha kuwapokea wageni waheshimiwa, na ofisi husika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha