Wachina wote wajiburudisha kwa raha kwenye likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2021
Wachina wote wajiburudisha kwa raha kwenye likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China
(Picha zinatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 1, Oktoba ni Sikukuu ya Taifa ya China. Katika mapumziko ya wiki moja, Wachina wote wamesherekea kwa furaha Sikukuu ya taifa na kujiburudisha kwa raha starehe.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha