Shughuli ya kuendesha baiskeli kwa kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili Duniani lafanyika Kampala, Uganda

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2021
Shughuli ya kuendesha baiskeli kwa kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili Duniani lafanyika Kampala, Uganda
Waendesha baiskeli wakishiriki shughuli ya kuendesha baiskeli ya kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili Duniani katika Mji Mkuu wa Uganda, Kampala, Oktoba 10, 2021. Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili, karibu waendesha baiskeli 100 nchini Uganda waliendesha kwa zaidi ya KM 20 kuongeza uelewa juu ya afya ya akili. (Picha na Nicholas/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha