Mzee wa Bosnia na Hezegovina ajenga nyumba inayoweza kuzunguka kwa duara (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2021
Mzee wa Bosnia na Hezegovina ajenga nyumba inayoweza kuzunguka kwa duara

Habari kutoka Shirika la habari la Reuter zilisema, mzee Vojin Kusic mwenye umri wa miaka 72 anakaa karibu na mji mdogo wa Srbac, kaskazini mwa Bosnia na Hezegovina, na alijenga nyumba ya kuzunguka kwa kutumia umeme kwenye sehemu ya tambarare ya huko. Mke wake aliwahi kulalamika mandhari nje ya madirisha ambayo yalionekana ni ile ile kila siku, malalamiko hayo yalimhimiza mzee Kusic afanye juhudi za kujenga nyumba hiyo inayoweza kuzunguka kwa duara.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha