Mkutano wa Biashara ya Kidijitali wa Dunia wa mwaka 2021 wafunguliwa Wuhan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2021
Mkutano wa Biashara ya Kidijitali wa Dunia wa mwaka 2021 wafunguliwa Wuhan

Tarehe 12, Oktoba, Mkutano wa Biashara ya Kidijitali wa Dunia wa mwaka 2021 ulifunguliwa huko Wuhan, mkoa wa Hubei, China, ambapo mabalozi na wajumbe wa mashirikisho ya wafanyabiashara kutoka nchi 100 hivi, pamoja na wafanyabiashara, wataalamu na wasomi zaidi ya elfu kumi walihudhuria mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha