Vifaa vya kuwasaidia walemavu kwenye CR Expo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2021
Vifaa vya kuwasaidia walemavu kwenye CR Expo
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 17, Oktoba, Maonesho ya manufaa ya Kimataifa ya China ya mwaka 2021 (CR Expo) yaliyoandaliwa na Shirikisho la Walemavu la China yalifanyika Beijing, na yalivutia kampuni zaidi ya 200 zishiriki. Vifaa vya kuwasaidia walemavu vya aina mbalimbali vilivyooneshwa kwenye maonesho hayo vinaweza kusaidia walemavu kuboresha maisha yao na kuongeza uwezo wao wa kujiunga na jamii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha