

Lugha Nyingine
Mkutano wa kimataifa wa Mapishi ya kisichuan wa mwaka 2021 wafanyika Chengdu
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2021
Tarehe 18, Oktoba, Mkutano wa kimataifa wa mapishi ya kisichuan wa mwaka 2021 umefunguliwa huko Chengdu, mkoa wa Sichuan, China. Wapishi wengi wamekusanya huko kujadili ustadi wa kupika vitoweo vya Kisichuan.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma