Picha: Hafla ya kukaribisha moto wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijng 2022 yafanyika hapa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2021
Picha: Hafla ya kukaribisha moto wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijng 2022 yafanyika hapa Beijing
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Leo asubuhi, moto wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing mwaka 2022 umefika hapa Beijing, na hafla ya kuukaribisha imefanyika kwa shangwe. Halafu, mpango wa kuonesha moto huo na wa kupokezana kwa mwenge ulitangazwa. Naibu mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing alisema, kuanzia tarehe 2 hadi 4, Februari, mwaka 2022, shughuli za jadi za kupokezana mwenge zitafanyika, ambapo kwa jumla wachezaji 1200 watashiriki kwenye shughuli hizo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha