Putin awaruhusu watu wa nchi nzima ya Russia wapumzike kwa likizo iliyo na mshahara ili kujikinga na Corona

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2021

Shirika la Habari la China Xinhua limeleta habari kutoka Moscow kuwa, kwa kukabiliwa na wimbi jipya la maambukizi ya Corona, tarehe 20 rais Vladimir Putin wa Russia alitangaza kuwa siku za kuanzia Oktoba 30 hadi Novemba 7 zimekuwa likizo yaliyo na mshahara ya watu wa nchi nzima , na sehemu zinazoathiriwa vibaya na virusi vya Corona zinaweza kuanzia likizo yaliyo na mshahara mapema kuliko siku zilizowekwa.

Tarehe 20, Oktoba, watu wakivaa barakoa wanatembea nje huko Moscow, mji mkuu wa Russia. (Mpiga picha: Evgeny Sinitsyn)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha