Benki ya Umma ya China yatazamiwa kutoa seti ya sarafu za kumbukumbu za Panda za madini yenye thamani ya toleo la 2022

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2021
Benki ya Umma ya China yatazamiwa kutoa seti ya sarafu za kumbukumbu za Panda za madini yenye thamani ya toleo la 2022
(Picha zinatoka tovuti ya Gazeti la Umma.)

Tarehe 20, Oktoba, Benki ya umma ya China itatoa seti ya sarafu za kumbukumbu za Panda za madini yenye thamani kubwa ya toleo la 2022, kila seti itakuwa na sarafu 14 kwa jumla.

Habari zilisema, mwaka 2022 utakuwa maadhimisho ya miaka 40 ya utoaji wa sarafu za dhahabu za Panda. Ili kukumbuka maadhimisho hayo maalum, kwa mara ya kwanza Benki ya Umma ya China imetoa sarafu za kumbukumbu za Panda zenye alama ya miaka 40, na pia ni mara ya kwanza kuweka alama ya maadhimisho kwenye sarafu za dhahabu na za fedha. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha