Vioo 12,000! Tazama “Mtambo mkubwa wa nishati wa kioo” wa China ulioko Dunhuang (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2021
Vioo 12,000!  Tazama “Mtambo mkubwa wa nishati wa kioo” wa China ulioko Dunhuang

Mtambo wa umeme wa jua wenye megawati 100, pia huitwa "mtambo mkubwa wa nishati wa kioo" ukiwa na vioo zaidi ya 12,000 vinavyobadilisha upande kwa kufuata jua, unaangaza katika Jangwa la Gobi huko Dunhuang, mkoa wa Gansu Kaskazini Magharibi mwa China. Mtambo huo umebuniwa, kuwekeza na kujengwa na kampuni ya China, ambao ni wa juu zaidi duniani wa uzalishaji wa umeme kwa nishati ya jua na kuhifadhiwa umeme na chumvi ya kuyeyuka, una uwezo wa kuzalisha umeme wa kilowati milioni 390 kwa saa kila mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha