

Lugha Nyingine
Wenchang, Hainan: kasa tisa warudi baharini
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2021
Tarehe 31, Oktoba, 2021, shughuli ya kiumma ya “kuwalinda kasa wa bahari ya kusini mwa China” ilifanyika huko Wenchang, mkoa wa Hainan. Katika pwani ya ghuba ya Qishui, mji wa Wenchang, watu wengi wanaopenda kushiriki kwenye shughuli za kijamii wakiwa pamoja na wafanyakazi, waliwapeleka kasa tisa kurudi baharini, mazingira yao ya asili, kasa hao ambao waliokolewa nao na kupata matibabu na kupona.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma