Maonesho ya Mavazi ya Jadi ya China yafanyika katika Chuo Kikuu cha Mavazi cha Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2021
Maonesho ya Mavazi ya Jadi ya China yafanyika katika Chuo Kikuu cha Mavazi cha Beijing
Hili ni igizo la kuonesha mavazi ya enzi ya Han katika ufunguzi wa maonesho hayo, Novemba 3.

Jumatano ya Novemba 3, watazamaji wameanza kutembelea Maonesho ya Utafiti wa Utamaduni wa mavazi na mapambo ya Jadi ya China na ubunifu wa sanaa. Maonesho hayo yamefunguliwa siku hiyo katika Chuo Kikuu cha Mavazi cha Beijing, ambapo yanaonesha seti za sanaa zaidi ya 60 (yaani sanaa zaidi ya 300) zilizobuniwa na walimu na wanafunzi wa chuo kikuu hicho na wasanii walioalikwa zaidi ya 40. Sanaa hizo zinahusisha mavazi, uchoraji, sanamu na aina nyingine nyingi. Maonesho hayo yataendelea kufanyika hadi Novemba 15. Mpiga picha: Chen Zhonghao/Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha