

Lugha Nyingine
Marafiki wapya na wa zamami wa Maonesho ya nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China(CIIE) (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 09, 2021
![]() |
Hili ni banda la maonesho la Kampuni ya Shanghaojia. Kampuni ya Shanghaojia imeshiriki kwa miaka minne mfululizo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China. |
Maonesho ya nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China yamefanyika kuanzia Novemba 5 hadi 10 katika Kituo cha Mikutano na Maonesho cha Kitaifa (Shanghai). Kampuni karibu 300 za nchi na maeneo 127 zimeshiriki kwenye Maonesho hayo. Idadi ya nchi na kampuni zinazoshiriki mwaka huu imezidi ile ya kwenye maonesho yaliyopita. Marafiki wapya na wa zamani wote wamekuja, umoja wa wafanyabiashara wa kushiriki kwenye maonesho umepanuliwa, na mduara wa marafiki wa Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China umekuwa mkubwa zaidi.
Mpiga picha: Lu Peng / Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma