Zhangjiakou, Hebei: Kituo cha kitaifa cha kuruka na kuteleza kwenye theluji chaanza kutengeneza theluji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2021
Zhangjiakou, Hebei: Kituo cha kitaifa cha kuruka na kuteleza kwenye theluji chaanza kutengeneza theluji

Kuanzia asubuhi mapema ya tarehe 6, Novemba, kwenye msingi wa kuanguka theluji mjini Beijing, mashine za kutengeneza theluji zimeanza kufanya kazi kwenye Kituo cha kitaifa cha kuruka na kuteleza kwenye theluji kilichoko kwenye Uwanja wa Zhangjiakou wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, ili kufanya maandamizi ya majaribio ya michezo hivi karibuni.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha