Beijing yaandaa Barabara maalumu kwa magari yatumiwayo kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2021
Beijing yaandaa Barabara maalumu kwa magari yatumiwayo kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

Kuanzia Tarehe 12, Novemba, 2021, Beijing imeanza kuandaa barabara maalum kwa ajili ya magari yanayotumiwa kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi na Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing 2022, huku ikichora alama maalum kwenye barabara hizo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha