Simba watatu wadogo waoneshwa kwa mara ya kwanza Ujerumani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2021
Simba watatu wadogo waoneshwa kwa mara ya kwanza Ujerumani

Jumatatu ya wiki hii Novemba 15 saa za huko, simba watatu wadogo wenye umri wa wiki tano wa mbuga ya wanyama ya Gelsenkirchen huko Ujerumani walioneshwa kwa mara ya kwanza.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha