Picha: Kituo cha Tiangong cha China chang’aa kwenye anga

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2021
Picha: Kituo cha Tiangong cha China chang’aa kwenye anga

Tarehe 16, Oktoba, chombo cha kubeba binadamu cha Shenzhou No.13 cha safari kwenye anga ya juu kimefaulu kurushwa, na kufunga safari ya muda mrefu zaidi ya China mpaka sasa. Wanaanga watatu wa Shenzhou watakaa katika chombo cha kiini cha kituo cha China Tiangong kwenye anga ya juu.

Picha hizi zinaonesha kituo cha Tiangong kinachong’aa kwenye anga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha