Maonesho ya “Nguvu ya Teknolojia” yafanyika katika Jumba la Ukumbusho la Kitaifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2021
Maonesho ya “Nguvu ya Teknolojia” yafanyika katika Jumba la Ukumbusho la Kitaifa
Jumapili ya wiki iliyopita Tarehe 21, Novemba, watazamaji walitembelea kwenye maonesho ya “Nguvu ya Teknolojia” katika Jumba la Ukumbusho la Kitaifa la China.

Kwenye maonesho hayo, zimeonyeshwa kumbukumbu za zama za kale za kupatwa kwa jua zilizoandikwa kwenye magamba ya kobe, mafanikio ya teknolojia ya kisasa kama Satelaiti ya “Mozi” ya Majaribio ya Sayansi ya Quantum, mabaki ya kale ya utamaduni zaidi ya 400, pamoja na mifano zaidi ya 50, na kwa kupitia njia ya picha, majedwali, video na mradi wa kufanya majaribio na kuongeza ujuzi, yote haya yalionesha kirahisi muktadha wa maendeleo ya China katika sayansi na teknolojia na viwanda, ambayo yanaonesha sifa za maendeleo na mafanikio makubwa ya vipindi mbalimbali tofauti.

Mpiga picha: Liu Hauiyu(Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha