China yafaulu kurusha satelaiti No.2 ya Gaofen No.3

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2021
China yafaulu kurusha satelaiti No.2 ya Gaofen No.3

Habari kutoka kwa Idara ya Kitaifa ya Safari kwenye Anga ya Juu zilisema, saa 7:45 asubuhi ya tarehe 23, Novemba, China imefaulu kurusha satelaiti No.2 ya Gaofen No.3 kwa maroketi ya Changzheng No.4 C Yao No.37 kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Kurushwa kwa satelaiti hiyo kwa mafanikio kutaongeza zaidi uwezo wa satelaiti ya nchi yetu ya kufuatilia hali ya nchi kavu na baharini , kusaidia ujenzi wa nchi yenye nguvu ya kwenye bahari na kuunga mkono pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha