Shughuli za kuhesabu Siku 100 kuelekea Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 zafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 25, 2021
Shughuli za kuhesabu Siku 100 kuelekea Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 zafanyika Beijing
Shughuli za kuhesabu Siku 100 kuelekea Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 zilifanyika Jumatano usiku wiki hii. (Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Shughuli za kuhesabu Siku 100 kuelekea Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 zilifanyika Jumatano usiku wiki hii kwenye Uwanja wa “Mchemraba wa Barafu” katika Kituo maarufu cha Kitaifa cha Kuogelea kilichoko Beijing, China.

Aidha, katika usiku huo mpango wa kupokezana mwenge wa michezo hiyo ulitangazwa kwa umma.

Kwa mujibu wa Kamati ya Maandalizi, shughuli za kupokezana mwenge wa michezo hiyo zitaanza kwenye maeneo matatu ya Michezo ya Olimpiki ambayo ni Beijing, Yanqing na Zhangjiakou. Kwa jumla kutakuwa na wapokezana mwenge wapatao 600 kwenye shughuli hizo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha