

Lugha Nyingine
Wilaya ya Wen, Henan: Urithishaji wa Michezo ya Kipekee ya China ya Karate ya Tai Chi watia fora shuleni
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2021
![]() |
Wanafunzi wa Wilaya ya Wen iliyoko Jiaozuo, Mkoa wa Henan wakifanya mazoezi ya karate ya Tai Chi chini ya mafunzo ya mwalimu. (Mpiga picha: Xu Hongxing) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Wen ya Mji wa Jiaozuo mkoani Henan kwa kutumia nguvu yake bora ya chimbuko la michezo ya karate aina ya Tai Chi, imefanya michezo ya jadi ya karate ya Tai Chi kuwa somo la lazima kwenye mitaala ya elimu ya michezo ya shule za msingi na za sekondari, kufanya shughuli za mashindano ya mabadilishano ya Karate ya Tai Chi kati ya walimu na wanafunzi mara kwa mara ili kurithisha na kukuza utamaduni wa karate ya Tai Chi. Kwa sasa, kuna wanafunzi zaidi ya elfu 50 wanaojihusisha na michezo ya Karate ya Tai Chi katika shule za msingi na za sekondari za wilaya hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma