Ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta ya Nishati safi wasaidia marekebisho ya muundo wa uchumi wa Afrika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2021
Ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta ya Nishati safi wasaidia marekebisho ya muundo wa uchumi wa Afrika
Hizi ni mitambo ya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo inayoendeshwa na Kampuni ya Kundi la Umeme la China la Longyuan ya Afrika Kusini. Picha ilipigwa Jumatatu ya wiki iliyopita katika Wilaya ya De Aar, Mkoa wa Cape Kaskazini wa Afrika Kusini. (Xinhua/Lv Tianran)

Hivi sasa nchi mbalimbali duniani zinapambana na mabadiliko ya hali ya hewa, na nchi za Afrika zinakabiliwa pia na somo la kurekebisha muundo wa uchumi ili kupunguza uchafuzi kwa mazingira. Ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta ya nishati safi umekuwa na historia ya miongo kadhaa. Katika miaka ya hivi karibuni, vituo vingi vya kuzalisha umeme vinavyowekezwa au kusaidiwa kifedha na China vimezinduliwa au vitazinduliwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha