Njia ya kale ya kusindika mafuta ya chai kurithi ufundi wa jadi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2021
Njia ya kale ya kusindika mafuta ya chai kurithi ufundi wa jadi
Tarehe 29, Novemba, wanakijiji wakioka mbegu za camellia.

Karakana ya kusindika mafuta katika Kijiji cha Shangdu cha Wilaya ya Dao ya Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan imedumisha vifaa vya kale vya mbao vya kutengeneza mafuta. Kwa kupitia mchakato wa jadi wa kukausha mbegu za camellia, kukandia, kusaga na kutengeneza unga wa chai na kuchuja, wanakijiji wa huko hutengeneza mafuta ya rangi ya dhahabu ya camellia na kuuza kwenye masoko ya sehemu mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha