Sehemu mbalimbali nchini China zafanya shughuli kukumbuka Siku ya UKIMWI Duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2021
Sehemu mbalimbali nchini China zafanya shughuli kukumbuka Siku ya UKIMWI Duniani

Tarehe 1, Desemba ya kila mwaka ni Siku ya UKIMWI dunini. Katika siku hiyo, sehemu mbalimbali nchini China zimefanya shughuli za kuelimisha njia za kujikinga na maambukizi ya virusi vya UKIMWI, ili kuwasaidia watu kuelewa zaidi madhara, njia za kuambukiza na za kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha