

Lugha Nyingine
Shughuli za Kitaifa za kumbukumbu za Wahanga wa Mauaji ya Nanjing zafanyika Nanjing
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 14, 2021
Jumatatu ya wiki hii ni siku ya nane ya kitaifa ya kuwakumbuka watu waliouawa katika Mauaji ya Nanjing. Shughuli husika zilifanyika kwenye Makumbusho ya wahanga waliouawa kwenye Mauaji ya Nanjing yaliyofanywa na Jeshi la Japan lililofanya uvamia dhidi ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma