Tutazame pamoja mvua ya vimondo vya Gemini (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2021
Tutazame pamoja mvua ya vimondo vya Gemini
Picha hii ikionesha mvua ya vimondo vya Gemini iliyopigwa katika eneo la Fangshan mijini Beijing Desemba 14.

Mvua ya vimondo vya Gemini ikiwa moja ya mvua tatu kubwa zaidi za vimondo za Kizio cha Kaskazini na mvua kubwa ya vimondo ya mwisho ya mwaka huu, ilifikia kilele chake Desemba 14.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha