Kampeni ya “Kulinda Safari za Ndege” yaokoa Ndege Wanaojeruhiwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 20, 2021
Kampeni ya “Kulinda Safari za Ndege” yaokoa Ndege Wanaojeruhiwa
Jumapili ya wiki iliyopita, wafanyakazi wa Kituo cha Kuokoa Wanyamapori cha mji wa Cangzhou wakipaka dawa kwa ndege pori anayejeruhiwa. (Xinhua)

Hivi karibuni, Kituo cha Kuokoa Wanyamapori cha mji wa Cangzhou, Hebei kikishirikiana na watu wanaojitolea kimeanzisha kampeni ya “Kulinda Safari za Ndege”, ili kuwaokoa ndege walioumwa au kujeruhiwa katika safari zao za kuhama, na kuwarejesha katika mazingira ya asili baada ya kupona kabisa. Hivi sasa wamefaulu kutibu ndege zaidi ya 30 wa aina mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha