Kasi ya Kutengeneza Taa Nyekundu Kukaribisha Mwaka Mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2021
Kasi ya Kutengeneza Taa Nyekundu Kukaribisha Mwaka Mpya
Wafanyakazi wakitengeneza taa za jadi katika tarafa ya Dongsanzhao ya Eneo la Nanhe la Mji wa Xingtai, Desemba 22. (Picha/Xinhua)

Wakati mwaka mpya unakaribia, karakana za taa za jadi zinaharakisha kutengeneza taa za jadi za aina mbalimbali katika tarafa ya Dongsanzhao ya Eneo la Nanhe la Mji wa Xingtai, Mkoa wa Hebei, ili kuziuza sokoni.

Katika miaka ya hivi karibuni, tarafa ya Dongsanzhao imejikita katika kutumia ujuzi wake wa kutengeneza taa za jadi kikifuata mahitaji ya soko kutengeneza taa za jadi za aina mbalimbali. Kazi hii imewawezesha wanavijiji kutengeneza taa nyumbani kwao na kuongeza kipato.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha