Mtihani wa uzamili uliofanyika kwenye maeneo ya karantini mjini Xi’an

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 27, 2021
Mtihani wa uzamili uliofanyika kwenye maeneo ya karantini mjini Xi’an
Desemba 25, wanafunzi wakishiriki kwenye mtihani wa uzamili wa mwaka 2022 katika eneo la karantini la kituo cha mtihani cha Chuo Kikuu cha Lugha za kigeni cha Xi’an.

Desemba 25, mtihani wa uzamili wa mwaka 2022 ulianza kufanyika kote nchini China. Katika kituo cha mtihani cha Chuo Kikuu cha Lugha za kigeni cha Xi’an, jengo moja la masomo lililozingirwa kwa mstari wa kizuizi lilikuwa eneo maalum la mtihani huo. Eneo hilo la karantini likiwemo madarasa ya kufanyiwa mtihani na darasa la usimamizi na udhibiti. Wakati wa mtihani, wasimamizi walifanya kazi wakiwa wamevaa mavazi ya kujikinga wakati wote.Wanafunzi hawaondoki eneo la mtihani wakati wa mapumziko ya mchana, na shule ilitoa chakula bure kwa kila mwanafunzi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha