Wiki ya Mazoezi ya Wanamicheo Katika Majira ya Baridi Yaanza

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2021
Wiki ya Mazoezi ya Wanamicheo Katika Majira ya Baridi Yaanza
Hii ni picha iliyopigwa Desemba 23 ikionesha Uwanja wa Kituo cha Kitaifa cha Michezo Miwili ya Majira ya Baridi katika Eneo la Michezo la Zhangjiakou. (Picha ilipigwa na UAV.)

Kuanzia Tarehe 28 hadi Tarehe 31, Desemba, Kituo cha Kitaifa cha Michezo Miwili ya Majira ya Baridi kilichoko Eneo la Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi la Zhangjiakou, kitaanza wiki ya mazoezi ya wanamichezo wa nchi mbalimbali, ambayo ni shughuli ya mwisho katika mfululizo wa shughuli za majaribio za“Tukutane Beijing” za Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Hivi sasa maandalizi mbalimbali ya uwanja huo yamekamilika. Kituo hicho kwa jumla kina njia 11 za mbio. Wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, wachezaji watashindania medali 11 za dhababu hapa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha