

Lugha Nyingine
Thamani ya Mauzo ya Bidhaa kwa Maduka Yasiyotozwa Ushuru ya Hainan yazidi Yuan Bilioni 60 Mwaka 2021 (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2022
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Idara ya Biashara ya Mkoa wa Hainan, nchini China Mwaka 2021 thamani ya jumla ya mauzo ya bidhaa kwa maduka yasiyotozwa ushuru ya Hainan yamezidi Yuan bilioni 60. Hivi sasa, maduka kama hayo huko Hainan yameongezeka hadi 10, na maeneo ya jumla ya maduka hayo yamefika mita za mraba laki 220,000.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma