Rais Xi Jinping akagua maandalizi ya Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2022
Rais Xi Jinping akagua maandalizi ya Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi Beijing

Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Xi Jinping Desemba 4, akitembelea Uwanja wa Taifa wa kuteleza kwa kasi kwenye theluji, Kituo Kikuu cha vyombo vya habari cha Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, Kijiji cha Wanamichezo cha Beijing, Kituo cha Usimamizi na Uratibu wa michezo hiyo na Kituo cha mazoezi cha mradi wa theluji na barafu, ambapo alifahamishwa hali halisi ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, kuwatembelea wanamichezo, makocha, wasimamizi, wahudumu, watafiti wa kisayansi, waandishi wa habari na watu wanaojitolea, na kuwapa salamu za mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha