Kuhesabu siku 30 kuelekea Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2022
Kuhesabu siku 30 kuelekea Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing
(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Watu wakipiga picha mbele ya bango la kieletroniki la kuhesabu siku zilizobaki kabla ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 kwenye Barabara ya Wangfujing, Beijing Januari 4. Siku hiyo ni ya mwezi mmoja uliobaki kabla ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. (Picha/Chen Zhonghao kutoka Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha