Sanamu kubwa ya Mtu wa Theluji Yaonekana kwenye kando ya Mto Songhua, Harbin

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 10, 2022
Sanamu kubwa ya Mtu wa Theluji Yaonekana kwenye kando ya Mto Songhua, Harbin
(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Hivi karibuni, sanamu kubwa ya “Mtu wa Theluji” imeonekana kwenye kando ya Mto Songhua, Harbin nchini China na imevutia wakazi na watalii wengi huko kwenda na kupiga picha. Sanamu hiyo iliyovaa kofia nyekundu na skafu nyekundu, na yenye uso wa kutabasamu ina urefu wa mita 18 hivi na upana wa mita 13 hivi. Theluji ya zaidi ya mita za ujazo 2000 imetumiwa kwa ajili ya kutengeneza sanamu hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha