Wanafunzi wa kigeni nchini China Wafurahia Theluji na Kukaribisha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 11, 2022
Wanafunzi wa kigeni nchini China Wafurahia Theluji na Kukaribisha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi
Wanafunzi wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Ningxia wakicheza michezo ya mbio kwenye theluji Januari 10, 2022. (Picha ilipigwa na UAV.)

Siku hiyo, wanafunzi wa kigeni 27 walioko China wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Ningxia pamoja na walimu wao walikwenda Wilaya ya Helan, Mji wa Yinchuan, ili kufurahia michezo ya kuteleza kwenye barafu kwa sleji, kukimbia mbio kwenye barafu na duara za kuteleza kwenye theluji na michezo mingine wakikaribisha ujio wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. (Picha/Feng Kaihua kutoka Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha