“Taa za jadi za China zinazopendeza” zakutana na “hadithi za watoto za Ulaya” huko Ubelgiji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2022
“Taa za jadi za China zinazopendeza” zakutana na “hadithi  za watoto za Ulaya” huko Ubelgiji
Watalii wakitembelea kwenye Tamasha la Sita la taa za jadi za China katika bustani ya wanyama ya Antwerp, Ubelgiji.(Picha/Xinhua)

Hivi karibuni,Tamasha la Sita la Taa za jadi za China katika bustani ya wanyama ya Antwerp ya Ubelgiji lilivutia watalii wengi wanaotoka maeneo ya pembezoni mwake .

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha