UN yatoa Stempu kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2022
UN yatoa Stempu kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022
Hii ni stempu yenye thamani ya Dola za Mareknai 0.58. (Picha/Xinhua)

Shirika la Posta la Umoja wa Mataifa (UNPA) Januari 14 lilitangaza kuwa, ili kusherehekea kuwadia kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, UN itatoa stempu yenye kaulimbiu ya “Michezo Yahimiza Amani”. Hii ni mara ya kwanza kwa UN kutoa stempu kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha