Roboti zasaidia Kudhibiti UVIKO-19 wakati wa Pilikapilika za usafiri wa abiria wengi katika kipindi cha Mwaka Mpya wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2022
Roboti zasaidia Kudhibiti UVIKO-19 wakati wa Pilikapilika za usafiri wa abiria wengi katika kipindi cha Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Roboti ya kusafisha na kuua virusi kwenye sakafu ikifanya kazi yake kwenye Kituo cha Treni cha Kusini cha Hefei Januari 18. (Picha/Xinhua)

Wakati wa pilikapilika za usafiri wa abiria wengi za kipindi cha mwaka mpya wa jadi wa China, roboti inayojiendesha ya kunyunyizia dawa ya kuua virusi hewani, roboti ya kupima joto ya akili bandia, na roboti ya kusafisha na kuua virusi kwenye sakafu zimeanza kufanya kazi kwenye Kituo cha Reli cha Kusini huko Hefei, Mkoa wa Anhui, China. Zinachangia kukinga na kudhibiti janga la UVIKO-19 kwa kutumia teknolojia ya akili bandia wakati wa pilikapilika za usafari wa abiria wa mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha