“Makumbusho madogo ya Michezo ya Olimpiki” katika kichochoro cha Bejing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2022
“Makumbusho madogo ya Michezo ya Olimpiki” katika kichochoro cha Bejing
Picha hii inaonesha vitu vya Baraka vya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Mwaka 1972 iliyofanyika Munich, Ujerumani.

Zhang amekusanya na kuhifadhii vitu zaidi ya 5000 kuhusu Michezo ya Olimpiki, vikiwemo bendera za Michezo ya Olimpiki, vitu vya baraka, myenge n.k.. Nyumba yake iko kwenye kichochoro cha eneo la Magharibi mjini Beijing, mjini Beijing kulikuwa na vichochoro vingi vya makazi ya wenyeji, ambavyo huitwa kuwa ni ‘hutong’ , kwa kweli ni “Makumbusho madogo ya Michezo ya Olimpiki”. Wakati ilipofanyika Michezo ya Olimpiki ya Beijing ya Mwaka 2008, Zhang alifanya kazi ya kujitolea hivyo kumfanya apende zaidi Michezo ya Olimpiki.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha