Watu wa Nanchuan, Chongqing Wafurahia Michezo Kwenye Barafu na Theluji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 21, 2022
Watu wa Nanchuan, Chongqing Wafurahia Michezo Kwenye Barafu na Theluji

Hivi karibuni, theluji kubwa ilianguka kwenye Mlima wa Jinfo katika Eneo la Nanchuan, Chongqing. Watu wa Chongqing, ambao ni nadra kwao kuona theluji na barafu, walikwenda uwanja wa kuteleza kwenye theluji ili kucheza kwenye theluji, kuteleza kwenye theluji, na kutumia vifaa kama UFO kucheza kwenye mlima wa theluji , wakijistarehesha kwa furaha ya michezo ya barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha