Xi’an: Vicheko na Furaha vyarejea mitaani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2022
Xi’an: Vicheko na Furaha vyarejea mitaani
(Picha inatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Kufuatia utaratibu wa uzalishaji na maisha ya kawaida kurejea kwenye hali ya kawaida katika wilaya na maeneo 17 ya Xi'an, hivi sasa mitaa na bustani zilizokuwa na hali ya ukimya kutokana na wakazi kujitenga kijamii kwa sababu ya maambukizi ya virusi vya korona zimejawa na furaha na vicheko tena. Wakazi wa Xi'an wanatembea nje na kukaribisha kuwadia kwa mwaka mpya wa jadi wa China wa chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha