Shirika la Posta la New Zealand latoa stempu za Chuimilia kwa kumbukumbu za Mwaka mpya wa jadi wa China wa chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 27, 2022
Shirika la Posta la New Zealand latoa stempu za Chuimilia kwa kumbukumbu za Mwaka mpya wa jadi wa China wa chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China
Hii ni picha ya stempu za Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China zilizotolewa na Shirika la Posta la New Zealand.

Shirika la Posta la New Zealand lilitangaza stempu za Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia wa mwaka 2022 kwa kalenda ya kilimo ya China. Huu ni mwaka wa 26 mfululizo kwa nchi ya New Zealand kuchapisha stempu za wanyama wa Mwaka mpya wa jadi wa China kwa kalenda ya kilimo ya China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha