Washiriki Kwenye Maandalizi Wafanya Mazoezi ya hafla ya kutunuku medali ya Michezo ya Olimpiki (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
Washiriki Kwenye Maandalizi Wafanya Mazoezi ya hafla ya kutunuku medali ya Michezo ya Olimpiki
Wapandisha bendera wakifanya mazoezi ya kupandisha bendera usiku wa Januari 27. (Picha/Xinhua)

Kwa kuwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imekaribia, majaribio ya mwisho ya zana na vifaa na mazoezi ya mwisho ya mchakato mzima wa michezo hiyo yanafanyika kwenye uwanja wa utoaji wa medali wa Beijing, uwanja huo uko karibu na Uwanja wa Michezo wa Taifa “Kiota cha Ndege”.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha