

Lugha Nyingine
Hafla ya Kutunuku Medali kwa washindi wa Mbio fupi za Kupokezana vijiti za Kuteleza kwa Kasi kwenye Barafu kwa timu za jinsia mchanganyiko
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2022
Siku hiyo hafla ya kutunuku medali kwa washindi wa Mbio fupi za kupokezana vijiti za kuteleza kwa kasi kwenye barafu kwa timu za jinsia mchanganyiko kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ilifanyika kwenye uwanja wa kutunukia medali ulioko eneo la michezo la Beijing.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma