

Lugha Nyingine
Su Yiming Ashinda Medali ya Fedha katika Mchezo wa kuteleza kwa ubao kwenye theluji katika Mteremko kwa Wanaume
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 08, 2022
![]() |
Mchezaji wa Timu ya China Su Yiming akisherehekea ushindi baada ya mchezo Februari 7. (Picha/Xinhua) |
Fainali ya mchezo wa kuteleza kwa ubao kwenye theluji katika mteremko katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ilifanyika Februari 7 kwenye Ukumbi ulioko kwenye Bustani ya kuteleza kwenye theluji ya Yunding, Zhangjiakou. Mchezaji wa Timu ya China Su Yiming alishinda medali ya fedha katika mchezo huo. (Picha ilipigwa na Yang Shiyao/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma