Gu Ailing atwaa ubingwa wa kuteleza kwa kasi kwenye theluji kwa kuruka angani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 08, 2022
Gu Ailing atwaa ubingwa wa kuteleza kwa kasi kwenye theluji kwa kuruka angani
Mchezaji wa Timu ya China Gu Ailing akifurahia ushindi baada ya mchezo Februari 8.

Siku hiyo mchezaji wa Timu ya China Gu Ailing ametwaa ubingwa katika fainali ya mchezo wa kuteleza kwa kasi kwenye theluji kwa kuruka angani kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing, mchezo ambao ulifanyika kwenye Jukwaa la kuteleza na kuruka kwenye theluji la Bustani ya Shougang ya Beijing, Mji Mkuu wa China.

(Xinhua/ Mpiga picha: Xue Yuge)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha