

Lugha Nyingine
Sehemu mbalimbali nchini China zakaribisha watu wanaorudi baada ya Mwaka Mpya (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 08, 2022
![]() |
(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.) |
Tarehe 6, Februari ni siku ya mwisho ya likizo ya Sikukuu ya Spring, au Mwaka Mpya wa Jadi wa China. Siku hiyo, sehemu mbalimbali nchini China zilikaribisha watu wanaorudi kutoka maeneo walikokwenda kujumuika na familia zao kwa ajili ya kusherehekea sikukuu hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma